Posts

Showing posts with the label Jux

Jux Unaniweza Lyrics

Abbah [Verse 1: Jux] Pindi ukicheka we, Mi moyo unanitabasamu Huwa mwenye kujihisi mororo Ila ukilia wee, Hata kula nakosa hamu Huwa mwenye kujihisi mdororo [Hook: Jux] Ukiwa karibu na mie, Najiona bora Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma Uwepo wako we na mie, Umetia fora We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona [Bridge: Jux] Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza Unaniweza weza [Verse 2: Jux] Sitamani mwingine, Wala sidhani ka ataweza kutokea Maana mambo yako moto moto, Moto Labda upite ushetani mwingine, Maneno ya watu nishazoea i don't care Kila kukicha choko choko, Choko, choko Unavyonipa raha, Ndiyo nanepa mie Penzi lako natinga, navimba nabembea Kinachokufaaa, Usisite niambie Kwako niko radhi hata zege nibebe, Machinga nidadishee [Hook: Jux] Ukiwa karibu na mie, Najiona bora Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma Uwepo wako we na mie, Umetia fora We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona [Br