Posts

Showing posts with the label Rayvanny

Rayvanny – Miss Buza Lyrics

Image
Miss Buza By Rayvanny Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza Nampenda Miss Buza Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza Nampenda Miss Buza Rangi Yake ya Vidole kama ndizi za kuchomaa Harufu yake ya wigi ohh unapata corona Hee kikipigwa kikodoro lazima utamouna Shughuli hajaalikwa kijola ka shashola Ila chumbani si gogo mwali Mbuzi kagoma kifo cha mende chali Uvunguni sakafu juu ya dari Ua mtoto anaupaka asali mama Akiona simu anpita nayo Eeh akiona walleti anpita nayo Eeh akiona dundo kali anpita nayo Yaani akiona begi kali anpita nayo Ana msitu kwapani dala kifuani Kwenye dala dala anpita dirirshani Ghetto anazima taa vipele mapajani Ana dera jipya chupi la zamani Ayoyoyo Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza Nampenda Miss Buza Huyo Miss Buza Mama Miss Buza Jamani Miss Buza Nampenda Miss Buza Haya kelele ya kwanza kwa missi yake We Kelele ya pili kwa missi yake We we Kelele ya tatu kwa missi yake W we we we