Posts

Showing posts with the label David Wonder

David Wonder – Kosa Lyrics

Image
Kosa By David Wonder Oooh aaah (Alexis on the Beat) Niko na damu kwa mkono na nyama kwa mdomo Nitakulaje? Na lawama za wana hazifiki kikomo Nitashibaje? Nasema Baba nimekosa ooh kosa Kosea weee Nisije fanya tu kakosa ooh kosa Kukosana nawe Nasema Baba nimekosa ooh kosa Kosea weee Nisije fanya tu kakosa ooh kosa Kukosana nawe Ooh basi naomba Nisamehe, nisamehe, nisamehe Ooh Yesu wangu naomba Nisamehe, nisamehe, nisamehe Oooh Baba naomba Nisamehe, nisamehe, nisamehe Ooh Yesu wangu naomba Nisamehe, nisamehe, nisamehe Oooh niko sure polisi wananitafuta Oooh niko sure wanajua nimejificha Ju after kuwapata na mke na jirani Kwangu ndani chumbani nilitokwa akili yeah Nilitafuta kitu ya kumtishia Nilivyopatana na kisu sikujua Oooh nilidhani kwa haraka atakimbia Kifuani mwake nilivyofika sikujua Nimemdunga jirani kisu (Aha) Oooh jirani kisu (Aha) Na ako chini hasemi kitu (Aha) Ooh hasemi kitu Nasema Baba nimekosa ooh kosa Kosea weee Nisije fanya tu