Posts

Showing posts with the label Joel Lwaga

Nafasi Nyingine (Another Chance) Lyrics by Joel Lwaga

Image
(Sung in Swahili) Mavumbi umenifuta yote (You have cleansed all my dirt) Habari umebadili yote (You have changed all my news) Machozi umenifuta yote (You have wiped all my tears) Aibu umeondoa yote (You have removed all my shame) Umeniita mwanaye (You called me Your son) Niliyekuwa mtumwa (When I was a slave) Umenisimamisha (You stood me) Katika wingi wa neema (In the multitude of grace) Na umeniketisha mahali pa juu sana (And sat me on a high place) Bridge: Ninaucheka wakati uliopita (I laugh at the past) Nikiufurahia ule ujao (And joyful of the future) Ninaucheka wakati uliopita (I laugh at the past) Nikiufurahia ule ujao (And joyful of the future)(Repeat) Repeat: Nafasi nyingine (Another chance) Mara umenipa (For You have given me) Umenipenda bila kukoma (You have loved me unceasingly) Neema yako imeniinua tena (Your Grace has lifted me high) Umenipa tena bila kuchoka (You have given me without tiring) Refrain: Mungu wa neema, ah neema (God of Grace, oh Grace) Ah wa neema, ah