Posts

Showing posts with the label Ben Pol

Ben Pol – Ebenezer Lyrics

Image
Mmmmh, yeah Aah, mashuhuri kwa hakika Najongea kukupa sifa Wimbo wako wa taifa Na ndo maana mimi sichoki kukuimba Mimi ni nani hata nichoke, choke Sana nataka si tuwe wote, wote Mimi ni nani hata nizubae, zubae Ushindi lazima nikiwa nawe Haa aah unanikosha unanivuta, Haa aah unaniita umejificha, Haa aah unanikosha unanivuta, Haa aah Nimeshafikaa [Chorus] Ebenezer, Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer [Verse Two] Asubuhi vile jua likiwaka Natambua ni nafasi umenipa Sio nadeekaa sitaki kabisa kuchomoka Aaah wewe hukawii unayejibu kwa wakati Aaah nakupenda ndii nikiwa nawe sishikiki wewe hukawii unayejibu kwa wakati yoo nakupenda ndii haaaaaa Haa aah unanikosha unanivuta, Haa aah unaniita umejificha, Haa aah unanikosha unanivuta, Haa aah Nimeshafikaa [Chorus] Ebenezer, Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey Ebenezer Ebenezer, Ooooouw Ebenezer,,Ebenezer, heeeey