Harmonize – Hainistui Lyrics
Harmonize – Hainistui Lyrics [Intro chorus] Yaaweya, Jeshi Konde Boy Hainistui, Hainistui, Hainistui Apa nilipo kesho yangu siijui Kuna wenzako watakuroga , Hainistui Au nawe ushaoga, Hainistui Maana hunaga uoga, Hainistui Apa nilipo kesho yangu siijui [Hainistui Lyrics Verse One] Eeeh, leo nimepata kesho nimekosa Kazi ya mola haina makosa Huyu kampa boda mwingine verosa Vuta subiri ngoja mungu hajakutosa Majunga fitina na na Sigeuze changamoto Maneno machanina na na Dawa ya moto ni moto ooh nana na Wako waliosema Konde atapotea Konde atapotea Jembe katia gear chogo hiyo inapepea Chogo inapepea Nina kula kwa jasho oo oo Nipatacho naridhika Nasubiri kesho oo oo zamu yangu itafika Nenda waambie [Chorus] Hainistui, Hainistui, Hainistui Apa nilipo kesho yangu siijui Wenzako wanakuchukia, Hainistui Tena wamepanga kukubania, Hainistui Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui Usijali we tumia tu akili, Hainistui Apa nilipo kesho yangu siijui [Verse Two]