Posts

Showing posts with the label Country Boy

Bunduki Feat Country Boy – Pesa Lyrics

Image
Pesa By Bunduki Feat Country Boy Mi ndo pesa cheki navyo wasumbua akili Hawalali kutwa wanakesha kunitafuta midili Nawapeleka puta mpaka majasho yanatoka Vikwapa vinawanuka wanipati navyotoka Adimu kama nini sipatikani kirahisi Nasakwa hadi porini mimi ni shavu kwa polisi Ukikamatwa unitoe mimi wengine wananiita rushwa Nina majina mengi mimi chanzo cha kusaga kutupwa Waovu wananitumia ni wadhuru watu wema Na wema wananitumia nami natumika vyema Moyoni inakuwa faraja, nasahaukisha machungu Matatizoni ni raha pia ni shida kwenye uchungu Ili unipate nieke vyema nitunze nikutunze Usije sema sikusema, kamwe usinipuuze Wapo wanaonuna wakinikosa visirani haviishi Usinichokoze utaniponza mi ndo pesa kishawishi Wananiita pesa, pesa, pesa yeah Wananiita pesa, pesa, pesa yeah Wengine waniita money pesa mulla, money Wengine waniita money pesa mulla, money Wengine wananiita Ulizaliwa unanikuta na ukifa unaniacha Wote wananitafuta na si wote wanaonipata Nakidhi mahitaji k